Alhamisi, 8 Februari 2018

NURU YA MACHO. BONANZA LA SIKU YA SHERIA DUNIANI JIJINI TANGA.

 UJENZI WA MNARA WA KURUSHIA MATANGAZO  AWAMU YA PILI WA RADIO HURUMA FM. HUKO MKANYAGENI WILAYANI MHEZA TANGA. MNARA HUU UTAKAPOKAMILIKA UTAKUA NA UREFU WA MITA TISINI.
 BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI LILIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA POPATLALI JIJINI TANGA.


 KADHALIKA VYOMBO VYA HABARI NAVYO HAVIKUBAKI NYUMA KUFUATILIA MICHEZO HIYO. PICHANI NI MWANDISHI NA MTANGAZAJI WA RADIO HURUMA FM SILIVIA NOELI AKIFUATILIA KWA MAKINI MOJA YA MICHEZO HIYO.
 PIA KULIKUWEPO NA ZOEZI LA KUPIMA AFYA PAMOJA NAKUCHANGIA UTOAJI WA DAMU.

 WABABE WA MCHEZO WA KUVUTA KAMBA KATIKA BANDARI ZA TANZANIA PIA WALISHIRIKI NA KUIBUKA WASHINDI, NI TIMU YA BANDARI YA TANGA.
 VILEVILE WAPO WALIOSHINDWA NA KUBURUZWA BAADA YA KUELEMEWA.

 KADHALIKA WAPO WALIOSHIKA NAFASI YA MWISHO KATIKA MBIO.
VIONGOZI WA IDARA YA MAHAKAMA TANGA MKOA WA TANGA WALIFUNGUA BONANZA HILO PAMOJA NA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI-  PICHA ZOTE NA AZALIA L.MWIMBE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

  Paroko wa pppp