Jumapili, 18 Februari 2018

TAKUKURU TANGA

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga Christopher Mariba ametoa taarifa ya utendaji wa Takukuru Mkoani Tanga kwa kipindi cha Julai hadi Disemba 2017 katika Taasisi hiyo ofisini kwake Bandari House jijini Tanga.    Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari, ndugu Mariba    alisema hatua za ufanisi zinatokana na ushirikiano uliopo kati ya taasisi hiyo na raia wema, hivyo basi Mkuu huyo ameendelea kuiomba jamii izidi kutoa ushirikiano na taasisi hiyo ili kuikomboa jamii   ambayo imekuwa ikisumbuka kwa kutokutendewa haki na watendeji wasio waadilifu.
MKUU WA TAASISI YA KUPAMBANA NA RUSHWA MKOANI TANGA NDUGU CHRISTOPHER MARIBA, AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI OFISINI MWAKE  BANDARI HOUSE JIJINI TANGA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

  Paroko wa pppp