Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga Christopher Mariba ametoa taarifa ya utendaji wa Takukuru Mkoani Tanga kwa kipindi cha Julai hadi Disemba 2017 katika Taasisi hiyo ofisini kwake Bandari House jijini Tanga. Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari, ndugu Mariba alisema hatua za ufanisi zinatokana na ushirikiano uliopo kati ya taasisi hiyo na raia wema, hivyo basi Mkuu huyo ameendelea kuiomba jamii izidi kutoa ushirikiano na taasisi hiyo ili kuikomboa jamii ambayo imekuwa ikisumbuka kwa kutokutendewa haki na watendeji wasio waadilifu.
Jumapili, 18 Februari 2018
Jumatano, 14 Februari 2018
HII NI KWARESMA
KANISA KATOLIKI DUNIANI KOTE LEO HII TAREHE 14.02.2018 LIMEINGIA KWENYE KIPINDI CHA KWARESMAKWA SIKU AROBAINI KWA KUTANGULIWA NA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU. KATIKA KANISA KUU LA MT.ANTONI WA PADUA CHUMBAGENI JIJINI TANGA IBADA ILIONGOZWA NA PD.SIMONI CHAKUSAGA MKURUGENZI WA VIJANA NA MIITO JIMBONI TANGA.
PICHA ZOTE ZINAONYESHA WAUMINI WALIOHUDHURIA IBADA HIYO KANISANI HAPO.
Jumamosi, 10 Februari 2018
MAHAFALI YA KIDINI YA WANAFUNZI WAKATOLIKI WA KIDATO CHA SITA YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KANISA KUU LA MT.ANTONI WA PADUA CHUMBAGENI,JIJINI TANGA TZ.TAREHE 10.02.2018
PICHA ZOTE HIZI NI WANAMAHAFALI HAO WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI WA MIITO KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA,PD.SIMONI CHAKUSAGA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NAO KATIKA UKUMBI WA PAROKIA MT.ANTONI WA PADUA CHUMBAGENI JIJINI TANGA-
SHUGHULI ZOTE ZILITANGULIWA NA IBADA YA MISA TAKATIFU KANISANI HAPO.

MGENI NJOO MWENYEJI ASHIBE.
KAMA ILIVYO ADA,WAPIGA PICHA HAWAKUKOSEKANA KWENYE MAHAFALI HAYO KWA AJILI YAB KUWEKA KUMBUKUMBU ZA MATUKIO.
WAUZA MAPAMBO NAO HAWAKUFANYA AJIZI, KWANI WALIKUWA WAMETAYARISHA MATAJI YA KUVISHWA WANAMAHAFALI HAO.

Ijumaa, 9 Februari 2018
HABARIKA NA RADIO HURUMA.
GARI YA KURUSHIA MATANGAZO YA RADIO HURUMA FM JIMBO KATOLIKI LA TANGA.
TIMU YA RADIO HURUMA MWISHONI MWA MWAKA 2017 ILIKUWA KWENYE SAFARI NDEFU YA KIKAZI IKITOKEA TANGA KUELEKEA MBEA NA KUPITIA JIMBO KATOLIKI LA MBEYA,SONGEA,MBINGA NA KUPITIA JIMBO LA TUNDURU MASASI,LINDI ,DAR NA MOROGORO. HAPA WALISIMAMA KWA MAPUMZIKO MAFUPI KWENYE MASHAMBA YA CHAI NJOMBE.
HII NI KWAYA YA KIGANGO CHA UMBA NGOMENI WAKIWA WANAREKODI VIDEO YAO,KAZI ILIYOFANYWA NA HURUMA RECORDING STUDIO PAMOJA NA HURUMA VIDEO PRODUCTION.
HAWA NI BAADHI YA WANAKWAYA WAKIWA WANAONYESHA UTAMADUNI WA MTANZANIA KATIKA KUIMBA KWAO.
HAYO NI MAPAMBO YA MUUMBA WETU YANAYOPATIKANA ENEO LA TUNDURU MASASI.
MKURUGENZI WA MAWASILIANO JIMBO KATOLIKI LA TANGA NA KITENGO CHA RADIO HURUMA,PD.RICHARD J.KIMBWI AKIONGOZA IBADA YA MWAKA MPYA 2018 KATIKA KIGANGO CHA MJESANI PAROKIA YA MLINGANO. SIKU HII RADIO HURUMA ILISALI KWA PAMOJA NA WAUMINI MWA KIGANGO HICHO TAREHE 01.Ö1.2018.
TAREHE 0ß.12.2017 SHIRIKA LA WATAWA WA MAMA WA USAMBARA HUWEKA NADHIRI ZA DAIMA NA JUBILEI HUKO MAKAO MAKUU YAO KWAMNDOLWA KOROGWE JIMBO KATOLIKI LA TANGA.
ILI KUWAFIKIA WADAU WA RADIO , RADIO HURUMA FM IMEBORESHA MIUNDO MBINU YAKE,IKIWA NI PAMOJA NA KUHARAKISHA KUIFIKIA JAMII KWA KUONGEZA USAFIRI KWA WAFANYAKAZI ILI KUWAFIKIA WADAU MUDA WOWOWTE PALE WALIPO. PIKIPIKI YA MIGUU MITATU.
HAPA NI MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA MAMA YETU WA USAMBARA KWAMNDOLWA KOROGWE.
MKURUGENZI WA RADIO HURUMA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WA KIGANGANGO CHA KWABADA PAROKIANI MTINDIRO SIKU YA KRISMASI 2017.TAREHE 25.12.2017.

- TIMU YA WAFANYAKAZI WA RADIO HURUMA NAYO ILIJIKUTA IKICHEZA NGOMA YA UZAU KUTOKA LUSHOTO KWENYE SIKUKUU YA KUWEKA NADHIRI ZA DAIMA NA JUBILEI KWA WATAWA WA MAMA WA USAMBARA COLU.
Alhamisi, 8 Februari 2018
NURU YA MACHO. BONANZA LA SIKU YA SHERIA DUNIANI JIJINI TANGA.
UJENZI WA MNARA WA KURUSHIA MATANGAZO AWAMU YA PILI WA RADIO HURUMA FM. HUKO MKANYAGENI WILAYANI MHEZA TANGA. MNARA HUU UTAKAPOKAMILIKA UTAKUA NA UREFU WA MITA TISINI.
BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI LILIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA POPATLALI JIJINI TANGA.
KADHALIKA VYOMBO VYA HABARI NAVYO HAVIKUBAKI NYUMA KUFUATILIA MICHEZO HIYO. PICHANI NI MWANDISHI NA MTANGAZAJI WA RADIO HURUMA FM SILIVIA NOELI AKIFUATILIA KWA MAKINI MOJA YA MICHEZO HIYO.
PIA KULIKUWEPO NA ZOEZI LA KUPIMA AFYA PAMOJA NAKUCHANGIA UTOAJI WA DAMU.
WABABE WA MCHEZO WA KUVUTA KAMBA KATIKA BANDARI ZA TANZANIA PIA WALISHIRIKI NA KUIBUKA WASHINDI, NI TIMU YA BANDARI YA TANGA.
VILEVILE WAPO WALIOSHINDWA NA KUBURUZWA BAADA YA KUELEMEWA.
KADHALIKA WAPO WALIOSHIKA NAFASI YA MWISHO KATIKA MBIO.
VIONGOZI WA IDARA YA MAHAKAMA TANGA MKOA WA TANGA WALIFUNGUA BONANZA HILO PAMOJA NA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI- PICHA ZOTE NA AZALIA L.MWIMBE.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Paroko wa pppp
-
GARI YA KURUSHIA MATANGAZO YA RADIO HURUMA FM JIMBO KATOLIKI LA TANGA. TIMU YA RADIO HURUMA MWISHONI MWA MWAKA 2017 ILIKUWA KWENYE SA...
-
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga Christopher Mariba ametoa taarifa ya utendaji wa Takukuru Mkoani Tanga kwa kipindi cha Julai hadi Disemba 201...
-
PICHA ZOTE HIZI NI WANAMAHAFALI HAO WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI WA MIITO KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA,PD.SIMONI CHAKUSAGA ALIPOKUA ANAZUNGU...